Friday, April 13, 2012

WANA DOM NAKUJA SASA......NIPO NJIANI LEO!

Leo ndo leo.....msema kesho ni mwongo; Leo hii nanyanyua zangu Bongo moja kwa moja hadi Mjini Dodoma a.k.a Dom. Mchana huu nitaondoka zangu kuelekea Airport, na usiku huu nitakwea Pipa kuelekea Bongo......hadi Mjini kati Dom. Hii picha ni katika safari yangu ya kwanza kuja ugaibuni, na washikaji zangu wa Dom waliponisindikiza stendi ya basi ya Dodoma nikielekea Dar es salaam, kuja Ugaibuni. Sasa hatimae nawaambia wana Dom nakuja sasa moja kwa moja kuishi Dom.

2 comments:

John Mwaipopo said...

kuna hisia ya huzuni hapa. yote ni heri hata hivyo.

Baraka Chibiriti said...

Kabisa....yote ni heri Mwaipopo.

WATEMBELEAJI