Monday, May 28, 2012

AKICHUKUA TIZI LA KUENDESHA GARI.......!!!!!

 Mtoto wa Malaika....tukiwa safarini kuelekea Iringa - Makalala.  Akichukua tizi kidogo kidogo!

Enzi hizo tukienda Iringa, barabara ilikuwa katika matengenezo.....ilikuwa lazima msubiriane sana, lakini kwasasa safi kabisa......mambo barabara kwa barabara ya Moro to Iringa.

No comments:

WATEMBELEAJI