Wednesday, May 23, 2012

KIJIJINI KISIMA CHA NDEGE - DODOMA VIJIJINI.

 Pata ujumbe mzuri hapa......kutoka Kijijini hapa Kisima cha Ndege.
 Mgahawa wa kimataifa huu....wa Kijiji cha Kisima cha Ndege.

 Mitaa ya kati ya Kijiji cha Kisima cha Ndege.
Barabara kuu ya Kimataifa ya kwenda Kijiji cha Kisima cha Ndege.

1 comment:

ray njau said...

Nenda uendako ipo siku utaikumbuka mitaa ya Kisima cha Ndege.

WATEMBELEAJI