Tuesday, May 29, 2012

MTOTO WA MAKALALA NA KIDUKU!

Mtoto yatima wa Makalala......alitufurahisha sana kwa kucheza kiduku, katika sherehe ya kutukaribisha katika kituo hicho cha Watoto yatima cha Makalala - Mafinga.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Safi sana ..naona makaribisha yalikuwa mazuri sana!!

Baraka Chibiriti said...

Sanaaaaaaaaaaaaaaa......!!!!!

WATEMBELEAJI