Wednesday, May 23, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAFUNZO YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA MJINI DODOMA.


 Rais Jakaya Kikwete, na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda na Waziri wa TAMISEMI Mh.Hawa Ghasia.....wameongoza mafunzo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, yanayofanyika katika Ukumbi wa St.Gaspar, Mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanaoshiriki katika mafunzo hayo katika Ukumbi wa St.Gaspar Mkoani Dodoma.

- Picha na Freddy Maro.

No comments:

WATEMBELEAJI