Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote. Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini na;-
Atembeae kuwa Kiwete.
Aonae kuwa Kipofu.
Aongeae kuwa Bubu.
Mzima kuwa Mfu. N.k.
Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako.
No comments:
Post a Comment