LEO KATIKA KUCHEKECHA KOKOTO ZA VISIMA VYA MAJI....NDANI YA CPPS-WATER PROJECT - MIYUJI - DODOMA - TANZANIA.
Mashine ya kuchekecha kokoto za visima vya maji ya kunywa. Ili kuchuja maji kuwa safi.
Nami nikiwajibika hapa leo......ili kuziweka safi kokoto, kabla hazijatumika kwenye visima vya maji safi......kwaajili ya kuchuja maji.
No comments:
Post a Comment