Thursday, July 5, 2012

LEO MISELE YA CHINANGALI....KATIKA SEMINA YA MAJI.


 Chinangali hapa.....Dodoma Vijijini....katika barabara kuu ya kuelekea Dar, karibu na Chalinze ya Dodoma a.k.a Chalinze ya Nyama, katika semina ya maji....pia kufufua mradi huu ambao umetelekezwa kabisa, mpaka pampu ya kuvutia maji kwa kutumia upepo (Windmill) kuharibika kabisa.

 Pampu ya kuvutia maji kwa kutumia upepo (Windmill) lilivyo haribika kwa kutelekezwa tu!




 Kijijini Chinangali.


No comments:

WATEMBELEAJI