Wednesday, July 4, 2012

SIKU YA SHEREHE KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA MAKALALA - MAFINGA - IRINGA - TANZANIA.

 Nyumba ya mashine ya kusaga ya Makalala.




 Wakitoa zawadi kwa Mwanzilishi wa Kituo cha watoto yatima cha Makalala......kwa dada huyu Malaika.
 Watoto yatima, wakicheza mbele ya Mama yao Mfadhili Malaika.

Akina Mama walezi wa watoto yatima wakicheza kwa furaha mbele ya Mwanzilishi wa Kituo cha Makalala - Malaika.

No comments:

WATEMBELEAJI