Wewe Bwana usiniache, Mungu wangu, usijitenge nami, ufanye haraka kunisaidia, ee Bwana, wokovu wangu.
Ee Mungu Mwenyezi na mwenye huruma, wawajalia waamini wako neema ya kukutumikia vema na kwa uchaji. Tunakuomba utuwezeshe kukimbilia ahadi zako pasipo kukwaa.
No comments:
Post a Comment