Friday, November 23, 2012

TUJENGE MSHIKAMANO WA UNDUGU NA UPENDO, TUZINGATIE HAKI NA AMANI, TUTETEE UTU NA HESHIMA YA MWANADAMU, TUDUMISHE MISINGI BORA YA KIFAMILIA.

Kwa njia hii tunaweza kujenga mshikamano wa undugu na upendo unaozingatia haki na amani. Tuwe mstari wa mbele kulinda na kutetea utu na heshima ya binadamu, daima tukitafuta ukweli kwa kulinda na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia, bila kusahau elimu na malezi kwa watoto wetu!

No comments:

WATEMBELEAJI