Saturday, November 10, 2012

VINYWAJI KAMA HIVI WANASEMA HAVIFAI KABISA KWA AFYA YA BINADAMU.

Huko Italy wanazungumuza mara kwa mara....kuwa vinywaji kama hivi hapa havifai kabisa kwa afya ya binadamu, vina sukari nyingi sana! Kama tunavyofahamu sukari ikizidi sio nzuri kabisa!

No comments:

WATEMBELEAJI