mama weeeee hapa sasa ni hatari juu ya hatari..ila wengi wanasema wewe uliyezoea kunywa maji safi ndo unaona hatari lakini anakunywa hivyo hadhuliki je ni kweli?
Inawezekana...kwasababu watu wa vijijini wana kinga zaidi ya vyakula na maji wanayokunywa. Ukila au kunywa wewe uliyezoea maji salama, inakuwa tabu.
Dada Yasinta ni kweli. Huyo akinywa maji hayamdhulu.kwa sababu antibodies zake zimekaa kijeshi. mimi mwenyewe hiyo picha imenikumbusha mbali sana. Wakati tupo watoto tulipitia hiyo hiyo.Wee angalia hata pale bongo wanaolala nje na kula chakula cha kwenye jalala hawadhuriki. Sasa jaribu wewe mwingine. eeeeheee. mbona uharo utakubana.ni hayo tu.Box 2
Post a Comment
3 comments:
mama weeeee hapa sasa ni hatari juu ya hatari..ila wengi wanasema wewe uliyezoea kunywa maji safi ndo unaona hatari lakini anakunywa hivyo hadhuliki je ni kweli?
Inawezekana...kwasababu watu wa vijijini wana kinga zaidi ya vyakula na maji wanayokunywa. Ukila au kunywa wewe uliyezoea maji salama, inakuwa tabu.
Dada Yasinta ni kweli. Huyo akinywa maji hayamdhulu.kwa sababu antibodies zake zimekaa kijeshi.
mimi mwenyewe hiyo picha imenikumbusha mbali sana. Wakati tupo watoto tulipitia hiyo hiyo.
Wee angalia hata pale bongo wanaolala nje na kula chakula cha kwenye jalala hawadhuriki. Sasa jaribu wewe mwingine. eeeeheee.
mbona uharo utakubana.
ni hayo tu.
Box 2
Post a Comment