Monday, December 31, 2012

UBATIZO WA MTOTO WANGU WA UBATIZO ALLEN, SIKU YA SIKUKUU YA X-MAS YA TAREHE 25/12/12.











Ni furaha ilioje kwangu kwa kusimamia ubatizo hapo siku ya sikukuu ya X-mas ya tarehe 25/12/12, maana ndio mara ya kwanza kuwa Baba wa Ubatizo. Niliombwa na Mama wa Allen (Bahati) pamoja na Baba Mlalu.....nilikubali kwa moyo wote kuwa Baba wa Ubatizo wa Allen. Kwa msaada wa Mwenyezi Mungu naamini nitakuwa mlezi wa kiimani wa Allen. Nawashukuru sana wazazi wa Allen kwa kunichagua mimi na kuniamini niwe Baba na msimamizi wa kiimani wa Allen.

No comments:

WATEMBELEAJI