Wednesday, December 19, 2012

UJENZI WA WINDMILL UKIKAMILIKA KIJIJINI SHOGA, MAPARIJI, CHUNYA.



Na mimi nikiwepo juu ya Windmill....kama kawa, katika uhangaikaji wa maji Vijijini. Hapa jamaa likiwa limekamilika likitoa maji tu! Katika Kijiji cha wafungaji Wasukuma na Wamang'ati.....Kijijini Shoga, Mapariji, Chunya, Mbeya - Tanzania.

No comments:

WATEMBELEAJI