Monday, January 28, 2013

C.PP.S - WATER PROJECT.....NA WAGENI WAKE KUTOKA CANADA, NA KAZI ZAKE!

 Wageni wa C.PP.S - Water Project, kutoka Canada katika picha ya pamoja katika kazi ya ujenzi wa Windmill, (Pampu ya upepo ya kuvuta maji kutoka kwenye kisima).
 Wanafunzi wakifurahia picha na mgeni wa C.PP.S kutoka Canada.

Shule ya Secondary, mtaa ya Dodoma area D. Walipopatiwa huduma ya maji na C.PP.S - Water Project.

No comments:

WATEMBELEAJI