Friday, January 18, 2013

MSITU WA MBAO UNAOANZIA MAFINGA NA KUENDELEA....HUKO MKOANI IRINGA.

Utajiri wa Tanzania huu, na bado wanafunzi wa shule za msingi wananunua penseli na madaftari....wakati tungetumia msitu huu sawasawa isingekuwa shida kabisa, kununua vifaa kama hivyo mashuleni.

No comments:

WATEMBELEAJI