Tuesday, January 29, 2013
SIKU YA MAZISHI YA FR.JOACHIM NDELIANARUA, HUKO MANYONI - SINGIDA.
KANISANI MANYONI.
MHASHAMU BABA ASKOFU RWOMA, WA JIMBO KATILIKI SINGIDA, AKIHUBIRI KATIKA MISA YA MAZISHI YA MAREHEMU PD.JOACHIM NDELIANARUA.
WAAMINI WAKIWA KATIKA KANISA LA MANYONI, KWENYE MISA YA KUMWOMBEA FR.NDELI.
WAKATI WA KUTOA HESHIMA YA MWISHO, KUMWAGA BABA NDELI.
MAANDAMANO KUTOKA KANISANI KUELEKEA KATIKA MAKABURI YA MAPADRI WA SHIRIKA LA DAMU AZIZI YA YESU. TAYARI KWA KUUPUMZISHA MWILI WA MAREHEMU FR.JOACHIM.
GARI LA POLISI LIKIONGOZA MSAFARA KWENDA KATIKA MAKABURI YA MAPADRI.
GARI LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMU FR.JOACHIM NDELIANARUA.
KATIKA VIWANJA VYA MAKABURI YA MAPADRI WA DAMU AZIZI YA YESU, HUKO MANYONI - SINGIDA.
MAREHUMU FR.NDELI, AKISHUSHWA KABURINI.
KABURI LA MAREHEMU FR.NDELI.
TAYARI JENEZA LA MAREHEMU FR.NDELI, LIKIWA LIMESHUSHWA KABURINI.
KABURI LIKIFUNIKWA.
TAYARI MAZISHI YAMEKAMILIKA.
FR.DAVID KINABO, AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KATIKA KANDA YA ITALY, AKIWAWAKIRISHA MAPADRI WOTE WA DAMU AZIZI YA YESU, WALIOPO HUKO NCHINI ITALIA.
MKUU WA MKOA WA SINGIDA, MH.NKONE, AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI....KUWAKIRISHA MKOA MZIMA WA SINGIDA, NA ALIKUWA AKIMFAHAMU MAREHEMU KWA UKARIBU SANA!
- SISI TULIKUPENDA....LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI. BWANA AMETOA NA......BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIBARIKIWE. APUMZIKE KWA AMANI.....AMINA!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment