Sunday, January 13, 2013
WENGI WAMENITUMIA E-MAIL, KUNIOMBA PICHA ZA KUSIMAMIA UBATIZO SIKU YA X-MAS. WAMESEMA NIMEPENDEZA SANA.!
Nimepata maombi ya kuzirudia hizi picha za siku niliposimamia ubatizo wa Allen, rafiki yangu mmoja anasema nimependeza sana kuvaa suti, maana sijawahi kuvaa toka kuzaliwa kwangu. Siku hiyo ilikuwa balaa tupu, maana sijazoea kabisa...ilikuwa ni vicheko tupu, pia ilikuwa mara yangu ya kwanza kusimamia ubatizo...hivyo ilikuwa ni furaha sana kwangu. Sasa marafiki wengi wanasema nirudie hizi picha, basi naweka hizi baadhi tu! Zaidi mnaweza kuangalia katika habari zilizopita.
- Haya karibuni sana....furaha yenu ni furaha yangu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment