Wednesday, February 20, 2013

CHALINZE YA NYAMA, DODOMA VIJIJINI.....BARABARA KUU YA DODOMA - MOROGORO.

Nikitoka zangu Dar es salaam........ Nimekutana hapa na Lori Isuzu hii ya C.PP.S - Water Project.
 Ngoja tule nyama kidogo, kabla ya kufika mjini Dom.

Hapa panaitwa Chalinze ya nyama.......nyama ya mbuzi na ng'ombe ya kumwaga.

No comments:

WATEMBELEAJI