KAZI ZA VIJIJINI NA MAISHA YAKE....KULALA KWENYE HEMA AU KWENYE LORI, MARA NYINGI KUTOKUOGA, KULA WASIWASI....KAZI KWA SANA!
Hapa ujengaji wa Pampu ya kuvuta maji kwa kutumia upepo (Windmill) ukiendelea Kijijini Shoga, Wilayani Chunya, Jijini Mbeya.
Picha kidogo na warembo wa Kijijini.
No comments:
Post a Comment