Friday, February 1, 2013

KIJIJINI KWETU KATIKA BONDE LA UFA LA KILIMATINDE - MANYONI, SINGIDA - TANZANIA....UKIWA JUU KILIMATINDE UNAONA KWA MBALI KIJIJINI CHIBUMAGWA!

 BARABARA YA KUANZA KUPANDA MLIMA KILIMATINDE, UKITOKA KIJIJINI CHIBUMAGWA KUELEKEA MJINI MANYONI.
 HAPA TUKIWEKA SAWA GARI KABLA YA KUANZA KUPANDA MLIMA MKALI WA KILIMATINDE.


UKIWA JUU KILIMATINDE, UKIONA BONDE LA UFA, KIKIONEKANA KIJIJI CHA CHIBUMAGWA KWA MBALI NA BWAWA LAKE.

No comments:

WATEMBELEAJI