Porini.....kwa wafugaji wa Kisukuma na Wamanyati, huko Kijijini Shoga, Chunya - Jijini Mbeya.
Hufunga pazia za kiaina ndani ya kichwa cha lori, hapa ni mbonji kama kawa.
Mimi ni mwoga sana wa nyoka, hivyo huangusha kwenye kibini ya lori tu! nikiwa huko Vijijini katika kupambana na kazi za Maji. Marufuku kwenye hema. Maisha ya kazi za Vijijini ni magumu sana.....lakini tunapambana sana tu! hakuna mchezo. Hapa nikiwa nimepumzika zangu katika Lori, Kijijini Mapariji, Shoga, Chunya - Mbeya.
1 comment:
dogo njoo facebook muulizie shamim mwasha, tumeanzisha tena darhotwire, wakina dogo dumisane na live cat, msjacque, sweetlady, zeze wote wapo..
Post a Comment