Sunday, March 31, 2013

JUMAPILI NJEMA YA PASAKA.....KWENU NYOTE!

Nimefufuka na ningali pamoja nawe; umeniwekea mkono wako, maarifa hayo ni ya ajabu......Aleluya!

Bwana amefufuka kweli kweli, aleluya....utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele.

Ee Mungu, umetufungulia leo mlango wa milele kwa njia ya Mwanao wa pekee aliyeshinda mauti. Tunakuomba utujalia sisi tunaoadhimisha kufufuka kwake Bwana wetu, tufufuke katika nuru yako kwa kufanywa wapya na Roho wako.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Jumapili njema ya Pasaka kwako pia...

WATEMBELEAJI