Jamaa wawili walikuwa wanakimbilia Treni.....kufika Stesheni, Treni hiyoo inaondoka, wakaamua kuifukuzia. Jamaa mmoja akaipata na mwingine akaikosa.
Aliyeikosa akabaki kucheka tu!
Walioshuhudia wakamuuliza; mbona umekosa usafiri halafu unacheka?
Jamaa; Ndio nacheka kwasababu aliyefanikiwa kuipata Treni alikuwa ananisindikiza tu!
No comments:
Post a Comment