Baba akamwuliza mtoto; ''mbona leo umeamka alfajiri sana mwanangu?
MTOTO; ''namuwahi Mwalimu wa bagia shuleni.
BABA; ''Mjinga sana wewe!!! badala ya kuwahi masomo we unawahi hizo bagia?
MTOTO; ''Baba elimu haina mwisho......lakini bagia zinaisha saa nne tu!
1 comment:
hahaaaaa mbavu zangu jamani ..watoto bwana kaaaaazi kwelikweli
Post a Comment