Monday, April 29, 2013

BINADAMU!

HAWA NDIO BINADAMU;

Wakikukwepa usijali.........ipo siku watakutafuta!

Wakikusengenya nyamaza........huenda watajifunza!

Wakikununia omba Mungu........ipo siku watakuchekea!

Wakikupongeza usiwaamini sana......labda wanakutania!

Wakikutenga achana nao........wao sio kila kitu kwako!

Wakikudhulumu shukuru Mungu.......atakulipa!

Wakikualika kuwa makini.......isiwe wanakujaribu tu na kukutega!

Wasipokupenda usijisumbue kujipendekeza........Mungu yupo anakupenda sana na mimi pia nakupenda sana mdau wangu!

2 comments:

muarabu wa dubai said...

kitu cha hatari

Anonymous said...

kaka chibiri yaani haya maneno nimeyasoma utafikiri umeniandikia mimi yoote iliyoandikwa hapo ndiyo nayapitia loh! nimfarijika kweli ubarikiwe sana

WATEMBELEAJI