Monday, April 15, 2013

HIZI NDIZO SIFA ZA KILA MKOA TANZANIA YETU!

1). DAR      - Utapeli.

2). ARUSHA    - Ustaarabu.

3). MBEYA    -  Matukio ya ajabu.

4). MWANZA  -  Fujo.

5). TANGA    -  Mapenzi.

6). MORO  -  Starehe.

7). DOM   - Kuomba.

8). IRINGA  -  Kujinyonga.

9). RUVUMA  -  Pombe.

10). RUKWA  -   Uchawi.

11). TABORA  -  Mikosi.

12). SHINYANGA  -  Njaa.

13). SINGIDA  -  Upole.

14). KAGERA  -   Misifa.

15). LINDI  -   Waoga.

16).  KIGOMA  -  Ubishi.

17). PWANI  -   Uvivu.

18). MTWARA  -  Hasara.

19). KILIMANJARO  -  Ubahili.

20). SONGEA  - Hasira.

21). MANYARA  -  Utajiri.

22). GEITA  -  Presha.

23). SIMIYU  -  Maradhi.

24). NJOMBE  -  Hasara.

25). KATAVI  -  Aibu.


- HAYA WE MWENZANGU WE WA WAPI?

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmhh jamani Kweli una uhakika Ruvuma ---Pombe...duh huko ndo kwangu na sikujua hili...

Anonymous said...

safi kwa utafiti.Ila utafiti mwingine haueleweki.Kwa mfano unaposema Njombe HASARA unamaanisha nini?Mkoa wa Mara hujauweka.Ambapo Songea siyo jina la Mkoa bali ni makao ya mkoa wa Ruvuma.Ni hayo tu kwa leo

Anonymous said...

umerudia songeA ndo ruvuma mbn hatujakuelewa hapo? alafu tuwekee mikoa mingine mbona umetutenga wa musoma? ndo maara pia usije weka miwili tofauti bure

WATEMBELEAJI