Monday, April 8, 2013

ITAZAME DUNIA KWA JICHO LA 3 UTABAINI KUWA;

1). Maisha yamekuwa mafupi.
2). Usaliti umezidi.
3). Pesa ndio kila kitu.
4). Mapenzi yamekuwa fasheni.
5). Uongo ndio silaha.
6). Upendo wa dhati umekufa....imebaki tamaa tu!
7). Mawazo yetu yako kwenye pesa na mapenzi tu!
8). Ibada kwa Mwenyezi Mungu tunafanyia mazoea tu....si toka moyoni.
9). Kigezo cha uzuri kimekuwa shupu na sura si ''TABIA''.
10). Vizuri machoni ila si ''IMARA''.
11). Ukizubaa katika jambo lolote lile imekula kwako.....SO TAKE CARE!

No comments:

WATEMBELEAJI