Tuesday, April 9, 2013

TAMAA MBAYA.

Ndani ya meli kulikuwa na abiria wa makabila tofauti, walikuwa na mizigo. Mbele ya safari meli ilizidiwa....ilibidi mizigo ipunguzwe kwa kutupiwa majini.
Mzungu akatupa computer yake, akisema;'' kwetu zipo tele''. Mchina akatupa boksi la simu, akasema; ''kwetu zipo tele''. Mhindi akamwaga kiroba cha tambuu, akasema; ''kwetu zipo tele''. Mchaga akabaki anahaha tu! hajui atupe nini, kila kitu chake anakionea uchungu, ghafla akapata wazo la kumtumbukiza Mmasai, akisema; Yesu na Maria hawa wapo tele kule Arusha.

No comments:

WATEMBELEAJI