Sunday, June 30, 2013

MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.

Mshahara wa dhambi ni mauti......ole wangu mimi mwenye mdomo mchafu, mwenye kujivuna, mwenye kunyanyasa wenzangu......matusi, dharau, kejeli n.k.
Nitamwambia nini Mwenyezi Mungu katika siku yangu ya hukumu? Basi napaswa kutubu sasa kwani Mungu wetu ni mwenye huruma, mwenye upendo, Mungu wa haki.....Tukitubu kwa wakati atatusamehe!

No comments:

WATEMBELEAJI