Thursday, June 20, 2013

SAMAHANI SANA WADAU WANGU KWA USUMBUFU ULIO JITOKEZA KUTOKUWEPO HAPA KWA MUDA MREFU SASA. MAJUKUMU NI MENGI SANA YAMENIZIDI SANA...LAKINI TUPO PAMOJA DAIMA.


Leo ndani ya Mji wangu mkongwe wa Cesena - Italy. Nikitokea Tanzania, kupitia Dubai. Samahani sana kwa kupotea kwangu, mambo yalikuwa nje ya uwezo wangu, hivyo nikasitisha kidogo. Lakini nimerudi sasa. Pamoja Daima!

No comments:

WATEMBELEAJI