Tuesday, July 9, 2013

ETI UNAJISIFU KUWA UNA ROHO MBAYA.

Eti wewe unajisifu kuwa una roho mbaya, kweli wewe una roho mbaya kweli? Hebu jiulize vizuri na kubadilika, hakuna aliyezaliwa na roho mbaya.....roho mbaya anayo nani? zaidi ya shetani mtoa roho tu! 

- Rafiki wa kweli ni Mungu tu.....wengine jamaa tu! Hata kwa ndumba maji ya moto hayawezi kuunguza nyumba.

No comments:

WATEMBELEAJI