Tuesday, July 23, 2013

JAMANI TUJIFUNZE KUOMBA MSAMAHA....PALE TUKOSEAPO, TUWE WEPESI WA KUOMBA MSAMAHA.

Meno msamaha kwa mpumbavu, litamwua tu!.........lakini meno msamaha kwa mwelevu litamwinua tu!

- Kuomba msamaha sio ujinga, na ni kitu kidogo sana.....lakini  tulio wengi hasa wale wenye majigambo na kujitutumua, huwa tunajiponza na kutupelekea kukosa mambo mazuri kwaajili ya kuto omba msamaa tu!
Kama umemkosea mtu hebu sasahivi jaribu kuomba msamaha......ili upate kusamehewa. Fanya haraka usije ukajuta hapo baadae.

No comments:

WATEMBELEAJI