Saturday, July 27, 2013

LEO MITAA YA SALUNI KUKATA NYWELE KIDOGO.



Leo saluni kukata nywele......hapa kwa pembeni kuna wazee hawaonekani kwenye picha, walikuwa wakiniuliza kwanini unakata nywele wakati ni fupi tu?
Maana hapa ni kama sehemu ya kijiwe cha story na wazee wa vichekecho balaa.
Mimi niliwajibu; Nimezoea hivi, maana nilipokuwa mdogo niliishi na Bibi yangu....Mama yangu alikuwa masomoni, hivyo Bibi alikuwa mkali sana kwa wajukuu wote, hakuna kufuga nywele ndefu maana matumizi ya sabuni ni ghalama sana, yaani nywele zinamaliza sana sabuni. Acha wazee wacheke......na mimi nikawapa madongo yangu haya, hawana mbavu!

No comments:

WATEMBELEAJI