Saturday, July 27, 2013

ROHO MBAYA UNAYO WEWE? AU UNAIGA TU!

Eti wewe unajisifu kuwa una roho mbaya, kweli wewe una roho mbaya kweli? Hebu jiulize vizuri na kubadilika, hakuna aliyezaliwa na roho mbaya...........roho mbaya anayo nani? zaidi ya shetani mtoa roho.......wengine tunaiga tu!




- Halafu nakwambia;
Rafiki wa kweli ni Mungu tu.......wengine ni jamaa tu! Hata kwa ndumba maji ya moto hayawezi kuunguza nyumba.

No comments:

WATEMBELEAJI