Thursday, July 25, 2013

WATU MUHIMU KATIKA MAISHA HAYA LAZIMA KUWAHESHIMU SANA!

Kuna watu ambao sitaki kuwapoteza hata kuwasahau maishani mwangu hata kidogo......kwani roho zao hazibebi; chuki, majivuno, dharau, kiburi na jeuri......bali roho zao ni kama lulu.... hubeba; Upendo, Tabasamu daima, Ukarimu, Heshima, Imani na Kujali.

- Hakika wewe  ni kati yao.....kama sio basi jitahidi uwe mmoja wao.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Bonge la ujumbe nimeukubali. Ahsante

Baraka Chibiriti said...

Karibu Dada Yasinta.

Baraka Chibiriti said...

Karibu Dada Yasinta. Asante

WATEMBELEAJI