Friday, August 23, 2013

KAZI KWELI KWELI.....!!!!!! KA KICHEKESHO KA KIAINA.

Jamani nipo Hospitali nimelazwa, coz nilianguka ghafla......lakini msijali ninaendelea vizuri, ila mapigo yangu ya moyo yanaenda mbio sana, Doctor amenipima kagundua kwamba nina ukosefu wa (C.K.S) yaani Chips, Kuku na Soda.
Hivyo ili kuokoa maisha yangu naomba unitumie Sh.5000 tu! Ili niweze kununua hiyo dozi.

Hii kali.

No comments:

WATEMBELEAJI