Shetani alimwuliza Yesu; ni kitu gani kimekupa ujasiri wa kutamka kuwa wafuasi wako wote wataingia mbinguni?
Yesu akajibu; sababu nimewaachia kitu muhimu sana katika maisha yao, yaani Injili Takatifu.
Shetani akajibu; aaaaawapi.....wewe ulipoondoka tu duniani mimi nikawaletea kitu muhimu sana kinachoitwa Computer, muda wote wapo bize sana kwa kuchati tu.....Injili hawana mpango nayo kabisa, angalia sasa kama huyu anayesoma hii msg sasahivi hapa, tokea asubuhi hajasoma Biblia hata mstari mmoja tu..........je ni uongo?
No comments:
Post a Comment