Thursday, August 22, 2013

KICHEKESHO CHA LEO!

Jamaa mmoja kashitakiwa kwa kosa la kumpiga mke wake.

HAKIMU; Kwanini ulimpiga mke wako na stuli?
JAMAA; Kwasababu nilishindwa kunyanyua meza......

No comments:

WATEMBELEAJI