Wednesday, August 21, 2013

WANGAPI WALIKUWEPO?

Wangapi walikuwepo? Lakini hatunao tena.......umwogope Mungu wewe Kidela, dunia ni mapito tu! mbele kuchungu sana, chunga sana. Tenda wema uende zako usingoje malipo, hii dunia sio yako......kuishi nawe miaka yote sisi kama ndugu zako we Kidela ukaziaibisaha nafsi zetu. Binadamu hawaonekani wema, mpaka wema wayaseme mema.....kulipa yako mema uliyosema kwetu si mema, kutusema kila kona unayokwenda eti sisi si wema......kuishi miaka yote hii tulichovuna na wewe ulivuna, hii dunia sio mbaya bali walimwengu ndo wabaya......binadamu wabaya!
Jeuri ya nini sote tupo chini ya jua hili, ubabe wa nini hata wewe pia umezaliwa.....ungejizaa wewe mwenyewe hapo sawa, kijana chunga sana.......kama wewe ni mnyama mimi pia ni mnyama zaidi yako.....usilete za kuleta we Kidela heshimu watu, dunia ni mapito tu!


- Huu ni ule wimbo alioimba ALI KIBA, naupenda sana.

No comments:

WATEMBELEAJI