Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, utege sikio lako ulisikie neno langu. Ee bwana, nilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.
Ee Mungu Mwenyezi wa milele, utuwezeshe kufuata daima mapenzi yako matakatifu na kuitumikia fahari yako kwa moyo mnyofu.
No comments:
Post a Comment