Jamani wapendwa wadau wangu, naomba mnisamehe....kutokana bado nipo bize kupitiliza. Majukumu yamenizidi sana, ila nitarudi kama kawaida muda si mrefu. Naombeni msinichoke na kunikimbia kabisa. Mimi nipo pamoja nanyi daima wadau wangu wapendwa.
Si mnajua tena majukumu ya maisha, ni lazima kwanza kufanya yale yanayotutangulia na kutupatia ridhiki ya maisha.
-Asanteni sana na poleni sana kwa usumbufu huu.
BY.BARAKA CHIBIRITI.
2 comments:
Karibu Tanzania Exporters Association ili kwa pamoja tuiwezeshe jamii yetu kunufaika na fursa zilizopo katika masoko ya ughaibuni.
Karibu Tanzania Exporters Association ili kwa pamoja tuiwezeshe jamii yetu kunufaika na fursa zilizopo katika masoko ya ughaibuni.
www.tanexa.com
info@tanexa/com
Post a Comment