KAZI YA KUHAMISHA TENKI LA MAJI LA C.PP.S - WATER PROJECT, AMBALO LIPO ENEO LA BARABARA YA DODOMA - KONDOA - ARUSHA. HAPA NI MIYUJI, DODOMA. HIVI KARIBUNI BARABARA HII ITAWEKWA LAMI.
Tenki letu linalohudumia maji hapa Miyuji, likihamishwa kuwekwa pembeni.....kwasababu ya barabara kuu ya Dodoma, Kondoa, Babati - Arusha, itapita hapa karibu na tenki hili.....barabara inawekwa kiwango cha lami.
No comments:
Post a Comment