Sunday, March 30, 2014

UJUMBE WA JUMAPILI.

SIKU ZA MWISHO NI ZA HATARI SANA; 

Unapojivunia Elimu yako = ( HAKUNA KAZI).

Unapotegemea Mali na Pesa zako = ( UCHUMI NAO UNAYUMBA).

Ukiringia Uzuri wako = ( MARADHI NAYO YAPO KARIBU).

Ukiringia Hekima yako = ( AJALI MBAYA NAZO ZIPO).

Ukiringia Ujana wako = ( UZEE NAO UNAKUSUBIRI KWA HAMU).

Tutaponaje? Hapa ndipo REHEMA na NEEMA ya Mwenyezi Mungu inapochukua nafasi yake.Tumrudie Mwenyezi Mungu na kuyashika maagizo yake.....maana ndiye aliyesema '' Mtaangamia kwa kukosa maarifa''. Unapotafakari ya Dunia, tafakari na ya Mwenyezi Mungu pia katika Kwaresma hii.

- JUMAPILI NJEMA SANA KWENU NYINYI NYOTE WADAU WANGU.
BY. BARAKA CHIBIRITI.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Natumai imekuwa njema kwako pia kaka yangu...Duh! nimekumiss:-)

Baraka Chibiriti said...

Asante sana Dada yangu Yasinta....hata mimi nimekumiss sana tu! Karibu sana Dodoma.

WATEMBELEAJI