Saturday, July 5, 2014

LEO NI SIKU YA NDOA YA RAFIKI YANGU MPENDWA SANA ROGATH MGALLE......HONGERA SANA ROGATH KWA KUFIKIA UAMZI HUU.

Leo katika Kanisa Kuu Katoliki la Mt.Paulo wa Msalaba, Dodoma - Tanzania, saa tisa kamili kutakuwa na Misa Takatifu ya Ndoa ya Rafiki yangu mpendwa sana Rogath, ambapo anatarajia kufunga ndoa hiyo na Mtarajiwa wake mpendwa ambaye kwa jina ni Rafiki, ambapo watakamilisha Sakramenti hiyo muhimu sana katika haya maisha. Nami nategemea kuwepo Kanisani hapo kushuhudia ndoa hiyo.

- NAKUTAKIA KILA LAKHERI NYINGI SANA RAFIKI YANGU MPENDWA SANA ROGATH, KATIKA MAISHA YA NDOA.

No comments:

WATEMBELEAJI