LEO NDIPO MAZISHI YA MPENDWA WETU FR.MAKWANDA WA C.PP.S, AMBAPO AMEZIKWA KATIKA PAROKIA YA MANYONI - SINGIDA, AMBAPO PIA ALIKUWA AKIFANYIA UTUME WAKE HAPO MANYONI......PIA NI SEHEMU YA MAKABURI YA SHIRIKA LA C.PP.S.
- TUTAKUKUMBUKA DAIMA KWA UCHESHI NA UPENDO WAKO KWETU SISI, HASA MIMI BINAFSI NILIKUFAHAMU KWA UKARIBU SANA, NA HIVI KARIBUNI TULIONGEA KWENYE SIMU NA TUKATANIANA SANA NA KUCHEKA SANA, YAANI KUMBE ULIKUWA NDO UNANIAGA MAKWANDA?, YAANI BADO SIAMINI LAKINI SINA JINSI INABIDI NIAMINI TU.....YAANI INANIUMA SANA KUKUPOTEZA FR KAMA WEWE. LAKINI BASI NI MAPENZI YAKE MWENYEZI.....NAAMINI UTAKUWA MWOMBEZI WETU HUKO ULIKO FR.MAKWANDA.
KWAHERI FR.MAKWANDA....MWENYEZI MUNGU AKUPUMZISHE KWA AMANI....AMINA!
NI MIMI RAFIKI YAKO, NA WATU WALIKUWA WAKISEMA NI PACHA WANGU KWA KUFANANA KWETU. SITA KUSAHAU KAMWE!
BARAKA FRANCO CHIBIRITI.
No comments:
Post a Comment