USO KWA USO NA MJOMBA WANGU LIZZY, SAFARI MOJA MPAKA DUBAI.....BAADAE YEYE UJERUMANI NA MIMI ITALY.
Imekuwa kama bahati, safari moja na dada yangu Lydia na mwanae Lizzy....wenyewe wakielekea Ujerumani na mimi Italy, safari moja mpaka Dubai...baadae tunagawanyika hapo. Hapa ni full shangwe na mjomba!
Mama na Mwanae.......
No comments:
Post a Comment