Sunday, November 23, 2014

ASANTE MAMA WA YESU......MAMA YETU MPENDWA SANA MARIA.

Sisi wana wa dunia tukumbuke maneno aliyosema Bikira Maria, alipo watokea watoto wa Fatima; Lucia, Francisco na Yasinta........alisema; tusali Rozari Takatifu ili tupate amani, na tuwaombee wale wakosefu wasio na mwombezi, na wasio mwamini Yesu Mwokozi na wamuamini uli waokoke.
Mama yetu anahudhunika sana kwa matendo yetu maovu, anajua adhabuyetu ijayo hivyo anaona huzuni sana.

No comments:

WATEMBELEAJI