Friday, March 13, 2015

MAMBO YA MBAO KATIKA WILAYA YA MUFINDI, MAFINGA, IRINGA - TANZANIA.




Ni utajili mkubwa sana wa Mbao  katika Wilaya hii ya Mufindi, Mafinga, Iringa - Tanzania. Kuna miti mingi sana hivyo kufanya upatikanaji wa mbao kwa wingi sana.......hali ya hewa pia ni nzuri sana inayosababishwa na miti hii, ambayo huleta mvua nyingi sana.

No comments:

WATEMBELEAJI